Deuteronomy 16:16

16 aWanaume wenu wote lazima wajitokeze mara tatu kwa mwaka mbele za Bwana Mwenyezi Mungu wenu mahali atakapopachagua: kwa ajili ya Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, Sikukuu ya Majuma, na Sikukuu ya Vibanda. Hakuna mtu atakayejitokeza mbele za Bwana mikono mitupu:
Copyright information for SwhKC